WALIOTEULIWA KUWANIA USPIKA KWA TIKETI YA CCM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WALIOTEULIWA KUWANIA USPIKA KWA TIKETI YA CCM

Walioteuliwa Kuwania Uspika wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hawa Hapa.
Mheshimiwa Anna Abdallah

Mheshimiwa Anna Makinda
Mheshimiwa Kate Kamba
--------
Picha zote juu ni Waheshimiwa waliofanikiwa kuingia tatu bora kuwania nafasi ya spika wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania kama yalivyopitishwa na kikao cha Kamati kuu ya CCM muda mfupi uliyopita mjini Dodoma

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages