Pichani ni waigizaji mahiri na maarufu sana hapa Bongo katika tasnia ya Filamu,Irene Uwoya pamoja na Kanumba,pichani walikuwa kwenye moja ya upigaji wa picha wa filamu yao mpya wanayoigiza akiwemo Ray ambaye hayupo pichani,iitwayo Off Side.Picha kwa hisani ya Ray The Great.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)