Askari wa Jeshi la wanamaji wa Uingereza akitoa mafunzo ya namna ya kupambana na maharamia kwa askari wa Jeshi la wanamaji wa Tanzania,kwenye meli ya kivita ya MHS Montrose jana bandarini Dar es Salaam.Askari hao waliowasili nchini mwishoni mwa wiki watakuwepo kwa siku tano ambapo watatoa mafunzo ya namna ya kupambana na maharamia kwa vikosi mbalimbali vya askari wa Jeshi la wanamaji nchini.
Picha na Fadhili Akida
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)