Waziri Mkuu aliyemaliza muda wake Mh. Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA na aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya chama hicho Dk. Wilbrod Slaa walipokutana nje ya ukumbi wa Pius Msekwa bungeni jana mjini Dodoma. Mh. Pinda alikwenda kujumuika na wabunge wenzake wa CCM waliokuwa na kikao cha kumteua mgombea wa Naibu Spika kwa tiketi ya chama chao.
Picha na Edwin Mujwahuzi wa Mwananchi
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)