Rais Jakaya Kikwete leo ameungana na waislamu wengine kote nchini kusali sala ya Eid El Hajj.Pichani anaonekana Rais Jakaya Kikwete na mmoja wa waumini vijana baada ya sala ya Eid katika msikiti wa Gaddaffi uliopo mjini Dodoma leo asubuhi.
Rais Jakaya Kikwete akiwapa mkono wa Eid waumini wenzake baada ya sala ya eid katika msikiti wa Gaddaffi uliopo mjini Dodoma leo asubuhi.
Baadhi ya waumini wa dini ya kiislamu wakisali sala ya Edi katika msikiti wa Gaddaffi mjini Dodoma leo asubuhi.
Picha na Freddy Maro /Ikulu.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)