WAKATI MATOKEO YAKIENDELEA KUWASILI:CUF WAVAMIA OFISI ZA ZEC ASUBUHI HII KUTAKA SEIF SHARIFF HAMAD ATANGAZWE MSHINDI ZANZIBAR
Wafuasi wa CUF wakiwa kwenye Ofisi za Tume ya Uchaguzi zanzibar (ZEC) kushinikiza mgombea wa chama hicho Maalim Seif Shariff Hamad atangazwe kuwa mshindi.
MATOKEO YA AWALI URAIS ZANZIBAR
TUME ya uchaguzi Zanzibar imetangaza matokeo ya awali ya nafasi ya Urais wa Zanzibar kwa majimbo 15 ya Unguja na mgombea Urais wa Zanzibar kupitia chama cha mapinduzi CCM DK ALI MOHAMED SHEIN ameonekana kung,aa zaidi kwa ushindi wa majimbo mengi kisiwani Humo.
Akisoma matokeo hayo mbele ya waandishi wa habari,waalikwa,waangalizi wa uchaguzi na wananchi katika ukumbi wa matangazo ya matokeo huko katika hoteli ya Bwawani mwenyekiti wa tume ya uchaguzi Zanzibar - ZEC - KHATIB MWINYICHANDE amesema
FUONI
Waliojiandikisha 10884
Waliopiga kura 9367 %86.1
Kura halali 9201 %98.2
Zilizoharibika 166 %1.8
DK SHEIN CCM 6351 %69.0
Maalim Seif CUF 2777 %30.2
Kasim Bakr Ali wa jaahazi asilia ni 9 % 0.1
MTONI
Waliojiandikisha 9672
Waliopiga kura 8768 %90.7
Kura halali 8635 %98.5
Zilizoharibika 133 %1.5
DK SHEIN CCM 3746 %43.4
Maalim Seif CUF 4852 %56.2
DOLE
Waliojiandikisha 8017
Waliopiga kura 4912
Kura halali 6834 %98.4
Zilizoharibika 108% 1.6
DK SHEIN CCM 4777 %69.9
Maalim Seif CUF 2007 %6.4
Kasim Bakar wa jahazi asilia 16 % 0.1
DIMANI
Waliojiandikisha 12813
Waliopiga kura 11383 %88.8
Kura halali 11298 %68.5
Zilizoharibika 175 % 1.5
DK SHEIN 6225 % 55.5
Maalim Seif CUF 4898
Tadea na Jahazi asilia wamefuata kwa kufungana kwa kura 23
Kiembe samaki
Waliojiandikisha 4998
Waliopiga kura 3856 %35.4
Kura halali 3806
Zilizoharibika 50 % 1.3
DK SHEIN CCM 4338
Maalim Seif CUF 2812
NCCR mageuzi 10
Mwanakwerekwe
Waliojiandikisha 8062
Waliopiga kura 7253 %90.3
Kura halali 7178 % 98.4
Zilizoharibika 115 % 1.6
DK SHEIN CCM 4338 % 60.4 2812 % 39 .2 NRA 10 %0.1
Maalim Seif CUF
BUBUBU
Waliojiandikisha 9809
Waliopiga kura 8827
Kura halali 8606
Zilizoharibika 121
DK SHEIN CCM 4458 %51.8
Maalim Seif CUF 4119 % 47.9
Nra 12 % 0.1
MFENESINI
Waliojiandikisha 7242
Waliopiga kura 6203% 85.7
Kura halali 6038
Zilizoharibika 165
DK SHEIN CCM 3755 %62.2
Maalim Seif CUF 2246%37.2
AFP 11 %0.2
AMANI
Waliojiandikisha 7641
Waliopiga kura 6857%
Kura halali 6725
Zilizoharibika 112 %1.6
DK SHEIN CCM 4567 % 64.9
Maalim Seif CUF 2312 %34.4
Raha leo
Waliojiandikisha 7229
Waliopiga kura 6399 %88.5
Kura halali 6300 %88.5
Zilizoharibika 99 %1.5
DK SHEIN CCM 4043 %64.2
Maalim Seif CUF 2216 %35.2
KIKWAJUNI
Waliojiandikisha 7910
Waliopiga kura 6513 %82.3
Kura halali 6431%98.7
Zilizoharibika 82 % 1.3
DK SHEIN CCM 4534 %70.5
Maalim Seif CUF 1860 % 28.9
KWAHANI
Waliojiandikisha 7497
Waliopiga kura 6459%86.2
Kura halali 6398 %99.1
Zilizoharibika 61 %0.9
DK SHEIN CCM 4994%78.1
Maalim Seif CUF 1349 %21.1
MJI MKONGWE
Waliojiandikisha 7495
Waliopiga kura 6414 %85.6
Kura halali 6334 %98.8
Zilizoharibika 80 %1.2
DK SHEIN CCM 1589 %25.1
Maalim Seif CUF 4717 %74.5
Magogoni
Waliojiandikisha 10101
Waliopiga kura
Kura halali
Zilizoharibika
DK SHEIN CCM 3867 %44.1
Maalim Seif CUF 4867 %55.4
MPENDAE
Waliojiandikisha 9459
Waliopiga kura 8596 %90.9
Kura halali 8476
Zilizoharibika 120
DK SHEIN CCM 4870 %57.5
Maalim Seif CUF 3546 %41.8 *UPDATE YOTE HIII INASHUHSWA HAPA NA MDAU BASHIR NKROMO KUTOKA ZANZIBAR
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)