Andrew Chenge:Nataka uspika ili Kutibu Majeraha ya Wengine Bungeni - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Andrew Chenge:Nataka uspika ili Kutibu Majeraha ya Wengine Bungeni


Pichani Mh.Andrew Chenge Mbunge mteule wa Jimbo la Bariadi Mashariki na Mwanasheria mkuu wa Zamani wa Tanzania akiongea na waandishi wa habari kwenye hoteli ya Protea Courtyard Upanga SeaView leo ambapo amesema ana nia ya kugombe Uspika wa Bunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.Amesema ameamua kugombea Uspika wa ili niweze kusimamia na kutibu majeraha ambayo yamesababishwa na uongozi uliopita kwa wengine.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages