ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU NNE KUPIGA KURA WASANII WAHAMASISHA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ZIKIWA ZIMEBAKI SIKU NNE KUPIGA KURA WASANII WAHAMASISHA


Zikiwa zimebakia siku nne kabla ya kuanza kuchagua kiongozi umtakaye. Wasanii wa mziki wa kizazi kipya waamasisha wananchi kupiga kura kupitia mziki katika tamasha kubwa lililofanyika viwanja vya biafra Kinondoni.
Tamasha hilo lililoshirikisha wasanii zaidi ya 30 wa muziki wa kizazi kipya lilikua la aina yake pale umati mkubwa wa watu uliposhiriki kwenye Tamasha ilo kupokea ujumbe mzuri wa kutopoteza kura yako na kuchagua kiongozi umtakaye ambaye utaona atakuletea maendeleo kwa nchi.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages