Mgombea Mwenza wa urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi sare za CCM, aliyekuwa Katibu wa Siasa na Uenezi wa Wilaya ya Kinondoni wa chama cha CHADEMA, Jirani Edward, aliyejiengua katika wadhifa huo na kujiunga na CCM, ambapo alikabidhiwa kadi ya CCM baada ya kurejesha ya chama chake cha awali wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza Dk Bilal uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Bunju A Wilaya ya Kinondono jijini Dar es Salaam leo okt 27.
-






No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)