DR BILAL AKIPOKEA KADI ZA VYAMA PINZANI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DR BILAL AKIPOKEA KADI ZA VYAMA PINZANI


Mgombea Mwenza wa Urais wa CCM, Dk. Mohamed Gharib Bilal, akipokea kadi za wanachama wa vyama pinzani  waliokuwa wakirejesha kadi za vyama vyao na kujiunga na CCM, wakati wa mkutano wa kampeni wa mgombe mwenza, uliofanyika leo Okt 27 kwenye Uwanja wa Shule Msingi Bunju A Wilaya ya  Kinondoni jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages