DR Bilal Akabidhi Kadi Ya CCM - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

DR Bilal Akabidhi Kadi Ya CCM


Mgombea mwenza wa urais wa CCM, DK. Mohamed Gharib Bilal, akimkabidhi kadi ya CCM, aliyekuwa mgombea udiwani wa Kata ya Bunju kwa tiketi ya NCCR Mageuzi, Luliko Seme, ambaye pia alikuwa Mwenyekiti wa chama hicho wa Kata ya Bunju, ambaye alirejesha kadi na kujiunga na CCM, wakati wa mkutano wa kampeni wa Dk. Bilal, uliofanyika kwenye Uwanja wa Shule ya Msingi Bunju A, Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam leo Okt 27.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages