Alikiba Atua Kwa Obama Na Kuanza kufanya Kolabo Na R.Kelly - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Alikiba Atua Kwa Obama Na Kuanza kufanya Kolabo Na R.Kelly


Alikiba akiwa na wenzake wa ONE8GROUP wakirekodi singo yao pande za State kwa Mzee Obama.
Wasanii hao ni pamoja na 2-Face , Navio, Amani, 4×4 na wengineo.
 Alikiba akiwa na wenzie wa ONE8GROUP wakirekodi singo yao pande za Chicago Marekani na Kufanay Kolabo na Mtu Mzima R.kelly.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages