Umati waendelea kufurika kumsikiliza Dr Slaa kwenye kampeni zake hapo jana Mwembeyanga Temeke
Picha hapo chini ni wakazi wa jimbo la Segerea wakimsikiliza Dr Slaa jana Vingunguti
Hapo Chini ni baadhi ya Video katika kampeni Za Dr Slaa jana alipokua anahutubia Vingunguti
Hapo chini ni msafara wa Dr Slaa ulipokua unaingia katika Eneo la Vingunguti hapo jana alihutubia kwa dakika 15 tu.







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)