BASI LA SABENE LIMEPATA AJARI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

BASI LA SABENE LIMEPATA AJARI

Basi linalojulikana kwa jina la sabene linalofanya safari zake toka tabora kwenda Dar limepata ajali Mkoani Singida maeneo ya Manyoni Hadi sahivi hakuna taarifa kamili juu ya watu waliojeruhiwa au kupoteza maisha.kwa taarifa zaidi tutaendelea kupashana habari hapahapa

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages