ACADEMIC CERTIFICATE IMEOKOTWA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

ACADEMIC CERTIFICATE IMEOKOTWA

Academic Certificate Imeokotwa KINONDONI MUISLIM Tunaomba anayemjua Kijana Stanley Kidulile Amtaarifu au Yeye mwenye Awasiliane na watu wafuatao ili aweze kupata Academic Certificate yake kwa watu Wafuatao MUSSA KAZIMOTO simu namba 0762436366 au Doreen Kazimoto simu namba 0754501551.Popote Ulipo Jaribu kuwasiliana na hawa watu Kwa ajili ya Kupata Cheti Chako

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages