RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA KANU GIDEON MOI JIJINI NAIROBI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

RAIS KIKWETE AKUTANA NA MWENYEKITI WA KANU GIDEON MOI JIJINI NAIROBI


g3
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Mwenyekiti wa chama cha KANU Mhe Gideon Moi aliyemtembelea leo Novemba 29, 2012 katika hoteli ya Nairobi Serena jijini Nairobi.
g1
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimsindikiza Mwenyekiti wa chama cha KANU Mhe Gideon Moi aliyemtembelea na kufanya naye mazungumzo leo Novemba 29, 2012 katika hoteli ya Nairobi Serena jijini Nairobi PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages