CHAMA CHA MADAKTARI WANAWAKE TANZANIA ZAZINDUA HUDUMA YA AFYA YA JAMII MNAZI MMOJA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

CHAMA CHA MADAKTARI WANAWAKE TANZANIA ZAZINDUA HUDUMA YA AFYA YA JAMII MNAZI MMOJA

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akikaribishwa na Mkurugenzi  Mkuu wa Hospitali ya Muhimbili  Dkt. Marina Njelekela wakati wa Uzinduzi wa Huduma  ya Afya kwa Jamii Viwanja vya Mnazi Mmoja  mjini Dar es Salaam  leo ,mgeni rasmi akiwa Mama Kikwete .
Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mke wa Rais Mama Salma  Kikwete  akitoa Risala  wakati wa Uzinduzi wa Huduma ya Afya kwa Jamii  Viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam leo  akiwa Mgeni rasmi.
Baadhi ya Akina mama waliofika Viwanja vya Mnazi Mmoja kupata Elimu mbalimbali kwa ajili ya Afya wakimsikiliza Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo  (WAMA) Mama Salma Kikwete akizindua Huduma ya Afya  kwa Jamii  akiwa mgeni rasmi  jijini Dar es Salaam  leo .
Baadhi ya Akina mama waliofika Viwanja vya Mnazi Mmoja kupata Elimu mbalimbali kwa ajili ya Afya wakimsikiliza Mwenyekiti wa Wanawake na Maendeleo  (WAMA) Mama Salma Kikwete akizindua Huduma ya Afya  kwa Jamii  akiwa mgeni rasmi  jijini Dar es Salaam  leo .

Mwenyekiti wa  Wanawake na Maendeleo (WAMA) Mama Salma KIkwete kulia na Mwenyekiti wa Chama cha Madaktari Wanawake (MEWATA) Dkt Sarafina  Mkuwa  wakijadiri kitu wakati wa Uzinduzi wa Huduma ya Afya kwa jamii Viwanja vya Mnazi Mmoja mjini Dar es Salaam leo .
Wakazi wa jiji la Dar es salaam wakiwa katika foleni ya kwenda kupima Afya zao viwanja vya mnazi mmoja hunduma hiyo ni bure iliyoandaliwa na chama cha madaktari wanawake Tanzania (MEWATA)
Daktari bingwa wa macho kutoka hospitali ya Taifa muhimbili Bi.Celina Mhina akimpima macho mmoja wa wazee walioathirika na macho.
Baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wakisubiria kupata huduma ya macho kwenye viwanjavya Mnazi Mmoja.PICHA  ANNA ITENDA WA (MAELEZO) NA PHILEMON SOLOMON WA FULLSHANGWE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages