Mpambano kati ya bondia SELEMANI SAIDI VS CALED AMAEINDA wa Kenya linatalajia kuchezwa kesho katika uwanja wa KINESI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

Mpambano kati ya bondia SELEMANI SAIDI VS CALED AMAEINDA wa Kenya linatalajia kuchezwa kesho katika uwanja wa KINESI

SELEMANI SAID GALILE SELEMAN TOLL
Mpambano kati ya bondia SELEMANI SAIDI VS CALED AMAEINDA wa Kenya linatalajia kuchezwa kesho  katika uwanja wa KINESI ulioko katika jimbo la ubungo ,tarehe 10 -11-2012 jijini Dar es Salaam akizungumza na mwandishi wetu leo jioni Rais wa PST Emanuel Mlundwa amesibitisha  kuwepo kwa mpambano huo ambapo CALED AMAEINDA wa Kenya amewasili kwa ajili ya kupambana na Seleman Toll siku hiyo kwani taarifa zilizotolewa na moja ya chama cha masumbwi kuwa akitambui mpambano huo ndio mana PST ikachukuwa jukumu la kukwamua ili kufanyika mpambano huo ili mabondia wapate ridhiki yao ya alali kama walivyokubaliana katika mkataba 
Mlundwa alisema mabondia ndio wanaopigana hivyo ana sababu ya kusitisha mpambano huo usifanyike kwa baadhi ya watu wachache wasioutakia mema mchezo wa masumbwi kuleta fujo za uongozi wa hapa na pale

Mpambano huo utakuwepo pale pale kesho kuanzia saa kumi jioni na kuendeklea na baadhi ya wachezaji wanaocheza utangulizi wamepima uzito leo kwa ajili ya mpambano huo na kuwataka mashabiki kujitokeza kwa wingi kuangalia masumbwi hayo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages