Ziara ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda Katika Wilaya ya Mlele - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Ziara ya Waziri Mkuu Mizengo Pinda Katika Wilaya ya Mlele

 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua uenzi wa daraja la Msyada linalounganisha vijiji vya Mwamapuli na  Chamalendi  wilayani Mlele Agosti 26,2012.
 Waziri Mkuu Mizengo Pinda akizungumza na  vijana wa kijiji cha Kavuddo wilayani mlele wakati alipokagua eneo litakapojengwa daraja  linalounganisha eneo la Majimoto na Inyonga wialyani Mlele Agosti 26,2012.
Waziri Mkuu,Mizengo Pinda akikagua mashine ya kukoboa mpunga na kupanga madaraja ya mchele katika kijiji cha Mwamapuli wilayani Mlele Agosti 26,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages