Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ashiriki Zoezi La Sensa na Makaazi - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi Ashiriki Zoezi La Sensa na Makaazi

  Karani wa Sensa Bibi Maryam Fatawi akiuliza maswali kwa Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ambaye ni Mkuu wa Kaya yake hapo nyumbani kwake Mazizini nje kidogo ya mji wa Zanzibar. Kulia ya Balozi Seif ni Mkewe Mama Asha Suleiman Iddi
  Mwenyekiti Mwenza wa Kamati Kuu ya Taifa ya Sensa Tanzania ambae pia ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akielezea changamoto zilizojitokeza tokea kuanza kwa zoezi la sense ya watu na makazi nyumbani kwake Mazizini nje kidogo ya Mji wa Zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages