Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Halihalisi Saed Kubenea Aitaka Serikali Kufuta Tamko Lake La Kulifungia Gazeti Hilo - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Halihalisi Saed Kubenea Aitaka Serikali Kufuta Tamko Lake La Kulifungia Gazeti Hilo

 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi , inayo chapisha Gazeti la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea, akionyesha baadhi ya Magazeti yaliyolalamikiwa na Serikali.
 Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Hali halisi , inayo chapisha Gazeti la Mwana Halisi Bw, Saed Kubenea, akiongea na Waandishi wa habari katika Ofisi za Kampuni hiyo juu ya malalamiko yake kwa serikali kutokana na kufungiwa kwa gazeti lake la Mwana halisi jana ambapo alilaani vikali uamuzi huo uliochukuliwa na serikali na hivyo kuitaka serikali kufuta mara moja Tamko lake Kushoto ni Mhariri wa Gazeti  hilo Bw, Jabir Idrissa.Picha na Philemon Solomon

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages