AIRTEL YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI ARUSHA. - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

AIRTEL YAFUTURISHA WATEJA WAKE JIJINI ARUSHA.

Meneja Huduma wa Airtel Tanzania, Hilda Nakajumo (kulia), pamoja na baadhi ya wateja wao wa makampuni, wakipakua chakula katika hafla ya futari waliyoiandaa kwa wateja wao, katika Hoteli ya Naura Springs jijini Arusha jana. Kushoto ni Anne Gitarda na Evelyn James, wote kutoka katika ofisi za UN-ICTR jijini humo.
Baadhi ya wateja wa makampuni wa Airtel Tanzania wa Mkoani Arusha wakichota uji katika hafla ya futari iliyoandaliwa na Airtel Tanzania,  katika Hoteli ya Naura Springs jijini Arusha.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages