BAADA YA KIMYA KIREFU TANGU AACHIE ULE WIMBO WAKE WA “ULISEMA” AKIMSHIRIKISHA MAKE TEE (MNYALU) AMBAO ULIFANYA VIZURI KWENYE VITUO MBALIMBALI VYA REDIO NA TELEVISION. BONYFACE A.K.A HANDSOME BOY…A.K.A KIDUME BAADA
YA KUHAMA MJI WA MOROGORO NA KUHAMISHIA SHUGHULI ZAKE ZA MUZIKI HAPA
DAR TAYARI AMEACHIA WIMBO MATATA SANA UNAOKWENDA KWA JILA LA “BADO MTOTO” KAZI MZIMA IKIFANYWA CHINI YA PRODUCER MACHACHARI MENSEN SELECTA KUTOKA STUDIO ZA STUD DEFFETARTY. AKIWA CHINI YA LEBO YA MENSEN SELECTA DEFFETARTY MUSIC. BONYFACE PAMOJA NA PRODUCER WAKE WAPO
CHIMBO KUPAKUA MAWE MENGINE AMBAYO YATAACHIWA HIVI KARIBUNI. USHAURI NA
MAONI JUU YA WIMBO HUU, UTAPOKELEWA KWA MIKONO MIWILI NA KWA HAMASA
KUBWA ILI KUKUZA MUZIKI WETU WA HAPA TANZANIA. KWA MAWASILIANO ZAIDI NA
MSANII MWENYEWE ANGALIA PROFILE YAKE HAPO CHINI :
NAME : BONFACE MATEZA
JINA LA KISANII : BONY FACE
WIMBO : BADO MTOTO
STUDIO : STUD DEFFETARTY
MTAYARISHAJI : MENSEN SELECTA
MAWASILIANO YA MSANII : Email:- bonyface.mateza@yahoo.com
Facebook:- bonyface.mateza@yahoo.co Simu : 0715 600750
BOFYA HAPO KUSIKILIZA NYIMBO YAKE AU KUIPAKUA
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)