Baadhi
ya wakazi wa mkoani Dodoma wakiangalia viatu vinatengenezwa na
wajasiriamali wa hapa nchini kwenye Banda la VETA katika maonyesho ya
Nanenane yanayoendelea kwenye Viwanja vya nzuguni Dodoma
Meneja Uhusiano wa VETA, Grace Kabogo
wa kwanza kushoto akipanga bidhaa zilizotengenezwa na wajasiriamali
kwenye maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya nzuguni
Dodoma
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)