Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba Aongoza Mkutano Wa Kukusanya Maoni ya Wananchi Kuhusu Katiba Mpya Kijiji cha Veyula, Kata ya Makutupora, Dodoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba Aongoza Mkutano Wa Kukusanya Maoni ya Wananchi Kuhusu Katiba Mpya Kijiji cha Veyula, Kata ya Makutupora, Dodoma

TUME+DODOMAxx
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Mstaafu Joseph Warioba akibadilishana mawazo na Wajumbe wengine katika Kijiji cha Veyula, Kata ya Makutupora, Dodoma Jumatano, Julai 11. 2012, kabla ya kuanza kwa mkutano wa kukusanya maoni ya wananchi kuhusu Katiba Mpya. Picha na Omega Ngole

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages