MSHINDI WA QUIZE YA CASTLE - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MSHINDI WA QUIZE YA CASTLE

 Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu Cha Mzumbe Morogoro ambaye ni mshindi wa Shindano la maswali yanayoendeshwa na knywaji cha Castle kupitia mtanda wa kijamii Facebook Yona H. Mbena, akipokea zawadi yake ya katoni moja ya kinywaji hicho kutoka kwa Meneja wa kinywaji hicho Kabula Nshimo, baada ya kuibuka mshindi kwenye shindano hilo la kujibu maswali ya Mpira ya Michuano ya Euro iliyomalizika usiku huu.Mwanafunzi wa mwaka wa kwanza Chuo Kikuu Cha Mzumbe Morogoro ambaye ni mshindi wa Shindano la maswali yanayoendeshwa na knywaji cha Castle kupitia mtanda wa kijamii Facebook Yona H. Mbena, akipokea zawadi yake ya katoni moja ya kinywaji hicho kutoka kwa Meneja wa kinywaji hicho Kabula Nshimo, baada ya kuibuka mshindi kwenye shindano hilo la kujibu maswali ya Mpira ya Michuano ya Euro iliyomalizika usiku huu.
Mwanafunzi wa CBE Deric Laurence, akipokea zawadi yake ya kinywaji Cha Castle kutoka kwa meneja wa kinywaji hicho Kabula Nshimo, baada ya kuibuka mshindi wakujibu maswali ya Kombe la Euro kupitia mtandao wa kijamii Facebook.( picha zote kwa hisani ya Intellectuals communications ltd)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages