Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Raymond Mushi (kulia) kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Dar
es Salaam akimkabidhi Mjasiliamali, Catherine Urio Cherahani wakati wa
kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali wa Safari Wezeshwa kwenye viwanja
vya Leaders jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Katikati ni Meneja
wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
Mkuu wa Wilaya ya Ilala kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Dar
es Salaam akimkabidhi Mjasiliamali, Elizabeth Chami Mashine ya
kutengenezea keki inayotumia gas na umeme wakati wa kukabidhi ruzuku
kwa wajasiliamali wa Safari Wezeshwa kwenye viwanja vya Leaders jijini
Dar es Salaam mwishoni mwa wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari
Lager, Oscar Shelukindo na Ofisa mauzo wa Kanda wa TBL Victo Kavishe.
Mkuu
wa Wilaya ya Ilala kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
akimkabidhi Mjasiliamali, Christabela Lyimo Compresor ya kupakia rangi
inayotumia wakati wa kukabidhi ruzuku kwa wajasiliamali wa Safari
Wezeshwa kwenye viwanja vya Leaders jijini Dar es Salaam mwishoni mwa
wiki.Katikati ni Meneja wa Bia ya Safari Lager, Oscar Shelukindo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)