WASHINDI WA PROMOSHENI YA VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO JIJINI MWANZA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WASHINDI WA PROMOSHENI YA VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO WAKABIDHIWA ZAWADI ZAO JIJINI MWANZA

Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Kanda ya Ziwa, Patrick Kisaka (kushoto) akikabhi funguo za bajaj kwa Mariamu Karumba,mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT)  ambaye ni mshindi wa pikipiki aina ya bajaj ambayo ameshinda kupitia promosheni ya "vumbua  hazina chini ya kizibo"inayoendeshwa na kampuni hiyo.
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Kanda ya Ziwa, Patrick Kisaka (kulia) akitoa maelezo mafupi muda mfupi kabla ya kukabidhi zawadi ya pikipiki aina ya bajaj kwa Mariam Karumba,mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT)  ambaye ni mshindi wa promosheni ya vumbua hazina chini ya kizibo inayoendeshwa na kampuni hiyo. 
Meneja Mauzo wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL) Kanda ya Ziwa, Patrick Kisaka (kushoto) akikabhi funguo za bajaj kwa Mariamu Karumba,mwanafunzi wa mwaka wa tatu katika chuo cha Mtakatifu Agustino (SAUT)  ambaye ni mshindi wa pikipiki aina ya bajaj ambayo ameshinda kupitia promosheni ya "vumbua  hazina chini ya kizibo"inayoendeshwa na kampuni hiyo.
 MAKABIDHIANO YA ZAWADI KWA WASHINDI WA PROMOSHENI YA VUMBUA HAZINA CHINI YA KIZIBO NA SBL YALIYOFANYIKA NYEGEZI JIJINI MWANZA JANA. HAWA NI WASHINDI WA PROMOMOSHENI HII KATIKA DROO YA NNE.
ALL REGURDS OLE

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages