Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete, wakitoa heshima za
mwisho mbele ya Jeneza lenye mwili wa mama wa Waziri wa Nchi Ofisi ya
Rais Mhe. Stephen Wassira (kushoto) , Marehemu Esther Mgaya Mankaba, leo
nyumbani kwa Mhe Wassira jijini Dar es salaam leo, baada ya heshima za
mwisho mwili wa marehemu ulisafirishwa kuelekea wilayani Bunda kwa
maziko.
Rais
Dkt Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete, Waziri Mkuu Mstaafu na
Mwenyekiti wa Tume ya Katiba, Jaji Joseph Sinde Warioba, Waziri wa Kazi
na Ajira Mhe Gaudencia Kabaka, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi wa CCM,
Nape Nnauye, na wanafamilia wa wafiwa wakitoa heshima za mwisho kwa
mama wa Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais Mhe. Stephen Wassira (kushoto kwa
Rais) , Marehemu Esther Mgaya Mankaba, leo nyumbani kwa Mhe Wassira
jijini Dar es salaam leo.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)