TAMASHA LA SUPA 5 ilivyofana mjini Mtwara - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

TAMASHA LA SUPA 5 ilivyofana mjini Mtwara

Ofisa Uhusiano wa Airtel Tanzania Bi. Jane Matinde (kulia) akitoa zawadi ya simu kwa mmoja wa wakazi wa mji wa Mtwara, Prisca Yonasi, aliyejitokeza katika hafla ya uzinduzi wa promosheni ya Jiunge na Supa 5 ya Airtelkatika uwanja wa Mashujaa, Mkoani Mtwara jana.
Wakazi wa Mtwara, Shabani Issa Zuberi (kushoto) ambaye ni bubu na asiyesikia akichuana na Kassim Rashidi kucheza muziki   katika hafla ya uzinduzi wa promosheni ya Jiunge na Supa 5 ya Airtel katika uwanja wa Mashujaa, Mkoani Mtwara jana. Shabani alishinda.
Sehemu ya umati wa watu waliojitokeza  katika uzinduzi wa promosheni ya Jiunge na Supa 5 ya Airtel katika uwanja wa Mashujaa, Mkoani Mtwara jana.
Baadhi ya wakazi wa Mtwara wakijiunga na Supa 5 wakati wa uzinduzi wa promosheni hiyo mjini Mtwara jana. Anayewaunganisha na Bi. Eva Mrutu wa timu ya mauzo ya Airtel.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages