|
Wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), pamoja na ndugu zao
wakishindana katika mchezo wa kuvuta kamba kwenye bonanza la kufurahi
pamoja na familia zao, katika ufukwe wa Hoteli ya Kunduchi Beach,Dar es
Salaam mwishoni mwa wiki, pichani Wanafamilia wa TBL wakimuangalia
mcheza sarakasi wa kikundi cha Black Texas, wakati akitembea juu ya waya |
Mtoto wa moja ya familia ya wafanyakazi wa Kampuni ya Bia Tanzania
(TBL) ambaye hakufahamika jina lake akitoa shoo ya bure katika bonanza
la wafanyakazi hao kufurahi pamoja na familia zao, Dar es Salaam
mwishoni mwa wiki.
Meneja Uhusiano wa TBL, Editha Mushi akijadiliana jambo na viongozi wenzake wakati wa bonanza hilo.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)