WAREMBO MISS DAR INTERCOLLEGE WAJIFUA VILIVYO LAMADA HOTEL - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

WAREMBO MISS DAR INTERCOLLEGE WAJIFUA VILIVYO LAMADA HOTEL

 Washiriki wa shindano la kumtafuta Malkia wa Miss Dar Intercollege wakiwa katika picha ya pamoja wakati wa mazoezi yao yanayofanyika kwenye hoteli ya Lamada iliyoko Ilala jijini Dar es salaam jana jioni, warembo hao kila mmoja kwa wakati wame wamejitapa kufanya vizuri katika shindano hilo na kuibuka na ushindi.
 Mwalimu wa warembo mwanaoshiriki katika shindano la Miss Dar Inter College Mrarylydia Bonoface akiwaelekeza jambo wakati wa mazoezi yao jana yanayofanyika kwenye hoteli ya Lamada Ilala jijini Dar es salaam.
Mratibu wa shindano hilo Dina Ismail na mmiliki wa blogu ya www.mamapipiro.blogspot.com akieleza jambo wakati wa mazoezi hayo, na kuwaasa warembo hao kuwa na nidhamu katika mazoezi jambo ambalo litawafanya kuzingatia mambo muhimu watakayoelekezwa na mwalimu wao.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages