Mgombea Uraisi Wa Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii, Sanaa na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma Nzamba Nasser.Ni Mmoja wa Wagombea Uraisi Katika Kitivo Cha Sayansi Ya Jamii, Sanaa Na Lugha Cha Chuo Kikuu Cha Dodoma ambaye aliweza kukata rufaa MARA MBILI na jina lake kurudishwa katika kinyanganyiro cha kuwania uraisi wa kitivo hiko.
NZAMBA NASSER NI MWANAFUNZI WA MWAKA WA 3 ANAYESOMA SHAHADA YA KWANZA YA SHERIA YA CHUO KIKUU CHA DODOMA
NA NI MGOMBEA ALIYEWEZA KUTUMIA ELIMU YAKE YA SHERIA KATIKA KUKATA RUFAA NA KUDAI HAKI YAKE YA MSINGI PALE AMBAPO TUME ILIONYESHA KUMCHAKACHUA ILI ASIGOMBEE.
KIJANA HUYU AMEONYESHA KUWA NA MVUTO NA KUTEKA AKILI ZA BAADHI YA WANAFUNZI WA KITIVO CHA SAYANSI YA JAMII,SANAA NA LUGHA NA KULETA MSISIMKO WA KAMPENI CHUO HAPA.

No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)