WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WATEMBELEA MRADI WA NYUKI WA PINDA- DODOMA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAKUU WA MIKOA NA WILAYA WATEMBELEA MRADI WA NYUKI WA PINDA- DODOMA

 Wakuu wa Mikoa na Wilaya pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa wakitembelea mradi wa ufugaji nyuki katika Shamba la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo eneo la Zuzu Dodoma May 29,2012. Viongozi hao wako Dodoma kwa semina.
WaziriMkuu, Mizengo Pinda akitoa maelezo kuhusu kifaa maalum kinachotumika kukamuwa asali kutoka kwenye masega wakati Wakuu wa Mikoa na Wilya pamoja na Makatibu Tawala wa Mikoa walipotembelea mradi wake wa ufugaji nyuki,eneola Zuzu Dodoma, May 29,2012.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages