Wachezaji
wa Simba wakishangilia na Kombe mara baada ya kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya
Vodacom iliyomalizika jana Uwanja wa Taifa dhidi ya watani wao wa jadi
Yanga.Simba ilishinda 5-0.
Wachezaji wa Simba wakishangilia na Kombe
Mashabiki wa Simba wakishangilia kwa namna yake
Wachezaji
wa Simba wakitembea mithili ya Simba mara baada ya kuwafunga watani wao wa jadi
Yanga wakati wa mchezo wa Ligi Kuu ya Vodacom uliochezwa kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam
jana.Simba ilishinda 5-0.Mbele ni Mchezaji wa timu hiyo, Uhuru Selemani na
motto wake
Wachezaji wa Simba wakishangilia
Waziri wa Habari akimkabidhi Kombe nahodha wa Simba Juma Kaseja mara baada ya kutwaa Ubingwa timu ya Simba
Mashabiki wakishangilia kwa mbwembwe





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)