Jukwaa atakalopanda mkali wa hip hop bongo Msanii wa Kizazi Kipya John Makini aka Mwamba wa Kaskazini katika uzinduzi wa Excel With Grand Malt katika Kiwanja kilichopo Nyuma ya Benki ya NBC na karibu na shule ya Sekondari ya Central
Mc na Dj wakiwa kwenye makamuzi katika uzinduzi wa Grand Malt Mkoani Dodoma Mida hii
Wanafunzi kutoka UDOM wakiwa wametulia tuli wakisubiri Uzinduzi kuanza
Hapa Sasa Kinywaji Kikitolewa na Wadau wakisubiri kwa Hamu sana kunywa Grand Malt ni Zaidi ya Kimea
Wakazi wa Dodoma Wakigombania Kinywaji Cha Grand Malt





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)