UZINDUZI WA EXCEL WITH GRAND MALT MKOANI DODOMA WAFANA, JOH MAKINI ATOA BURUDANI KWA MASHABIKI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

UZINDUZI WA EXCEL WITH GRAND MALT MKOANI DODOMA WAFANA, JOH MAKINI ATOA BURUDANI KWA MASHABIKI

Mkurugenzi wa Kinywaji Cha Grand Malt Tanzania Bi Consolata Adam akihutubia Umati wa Watu waliojitokeza katika Uzinduzi wa Excel With Grand Malt Mkoani Dodoma Jioni ya Leo
Meneja Wa Kinywaji Cha Grand Malta Akitoa Shukrani Kwa wateja wa Grand Malt Mkoani Dodoma
Msanii Wa Bongo Fleva Mwamba Wa Kaskazini Au Joh Makini Akitoa Burudani kwa Wakazi wa Dodoma Katika Uzinduzi wa Excel With Grand Malt uliofanyika Katika Uwanja wa Mpira Wa Shule ya Sekondari ya Central Iliyopo Nyuma ya Benki ya NBC Mkoani Dodoma jioni ya Leo
Mmoja  wa Wanafunzi Kutoka Chuo Kikuu Cha Dodoma (UDOM) akionyesha uwezo wa kuimba wimbo mpya wa Msanii Wa Bongo Fleva John Makini uitwao Manuva katika uzinduzi wa Excel With Grand Malt uliofanyika Katika Uwanja wa Mpira wa Shule ya Sekondari ya Central Iliyopo Nyuma ya Benki ya NBC mkoani Dodoma Jioni ya Leo
Mkazi wa Dodoma akiimba Wimbo wa Stimu Zimelipiwa Wa Msanii Nguli wa Bongo Fleva Joh Makini katika Uzinduzi wa Excel With Grand Malt Uliofanyika katika uwanja wa mpira wa Miguu wa Shule ya Sekondari ya Central uliopo Nyuma ya Benki ya NBC Mkoani Dodoma Jioni ya Leo

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages