Blogger Mwenzangu Othman Michuzi Mzee Wa Blogu Ya Mtaa Kwa Mtaa alipokuwa bize katika kuchukua taswira katika uzinduzi wa excel with Grand Malt uliofanyika leo katika uwanja wa Shule ya Sekondari Central iliyopo nyuma ya Benki ya NBC mkoani Dodoma.Kuchukua Taswira sio kazi rahisi kama wengi wanavyodhani ni fani na kipaji pia.Navutiwa Sana na Kazi Zake.Mtembelee Kwa KUBOFYA HAPA
-





No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)