Mafundi wa kampuni ya ujenzi ya Degremont-Spencon Consortium wakiendelea na ujenzi wa mtambo wa kusafisha maji wa Ruvu
Chini ambao unatarajiwa kukamilika Machi mwakani. Kukamilika kwa ujenzi huo kutasaidia kupunguza adha ya maji kwa kiasi
kikubwa kwa wakazi wa Dar es Salaam. (Picha na Fadhili Akida)
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)