Mmiliki wa Mtandao wa Lukaza Blog Josephat Lukaza akipokea cheti chake kutoka kwa Ephraim Mafuru
Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL), katikati ni
Teddy Mapunda Mkurugenzi wa Mawasiliano (SBL) kulia ni David Shayo wa
(SBL)
Mkurugenzi wa mtandao wa www.fullshangweblog.com akipokea cheti chake
kutoka kwa Ephraim Mafuru Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya
Serengeti (SBL) mara baada ya kumalizika kwa semina ya Mablogger kuhusu
usimamizi na maadili ya upashaji wa habari na masoko katika
uendeleshaji wa blogu na mitandao mingine, iliyofanyika leo kwenye makao
makuu ya kampuni hiyo yaliyoko Oysterbay jijini Dar es salaam, katikati
ni mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni hiyo Teddy Mapunda
Mkurugenzi wa Fullshangweblog kushoto akizungumza na mkurugenzi wa
8020fashion Shamimu Mwasha mara baada ya semina hiyo, kulia ni
Mkurugenzi wa blogu ya Father Kidevu.
mkurugenzi wa 8020fashion Shamimu Mwasha akipokea cheti chake Ephraim
Mafuru Mkurugenzi wa Masoko wa kampuni ya bia ya Serengeti (SBL)
katikati ni mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni hiyo Teddy Mapunda.
Mroki Mroki kutoka blogu ya Father Kidevu kushoto akipokea cheti chake.
Mwendeshaji wa Blogu ya Mtaa kwa Mtaa Othman Michuzi kushoto akipokea cheti chake.
Mkurugenzi wa Blogu ya Jiachie Ahmed Michuzi kushoto akipokea cheti chake.
Mkurugenzi wa kampuni ya R&R Caroline Gul kushoto akipokea cheti chake.
Mkurugenzi wa mawasiliano wa kampuni ya bia ya Serengeti Teddy Mapunda
akifafanua jambo katika semina ya uendeshaji wa mitandao na maadili ya
upashaji wa habari za masoko katika blogu na mitandao mingine.
Hadija Kalili wa Bongo Weekend nae
akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code
yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano
na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa
Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti
tando).
Mahamood Zubeir wa Bin Zubeir Blog,
akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code
yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano
na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa
Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti
tando).
Mhariri Mkuu wa The Habari Joachim
Mushi, akipokea
Cheti kutoka kwa Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti
(SBL) Epraimu Mafuru cheti cha mafunzo ya Diageo Marketing Code
yaliyotolewa na Kampuni ya Diageo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano
na Mahusiano wa SBL, Teddy Mapunda. Semina hii ilitolewa kwa
Waendeshaji wa Blogu na mitandao ya Kijamii hususani Blogu (Magazeti
tando).
Mablogger
mbalimbali wakifuatilia kwa makini yaliyokuwa yakijiri katika semina ya
uendeshaji wa mitandao na maadili ya upashaji wa habari za masoko katika
blogu na mitandao mingine.
Baadhi ya Bloggers Tukiwa Katika Picha ya Pamoja na Mkurugenzi wa Masoko wa Kampuni ya Bia ya Serengeti Ephraim Mafuru wa kwanza kulia aliyekaa kwenye kiti akifuatiwa na Meneja Mahusiano Wa Kampuni ya Bia Serengeti Bi Teddy Mapunda baada ya Semina Kumalizika
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)