WAWEKEZAJI WA UMEME TOKA UINGEREZA WAKUTANA NA PINDA - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

WAWEKEZAJI WA UMEME TOKA UINGEREZA WAKUTANA NA PINDA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na wawekezaji kutoka kampuni ya Endenville Energy PLC ya Uingereza ambao wanakusudia kuwekeza katika umeme wa makaa ya mawe nchini.Wawekezaji hao ni Mwenyekiti wa Kampuni Simon Rollason  (kulia) na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni, Mark Pryor (wapili kushoto) na kushoto ni Mwenyeji wao, Cassiano Kaegele,  Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Upendo Group ya Sumbawanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages