WABUNGE WALIVYOWEKA SAHIHI YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU (#VOTEOFNOCONFIDENCE) - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

WABUNGE WALIVYOWEKA SAHIHI YA KUTOKUWA NA IMANI NA WAZIRI MKUU (#VOTEOFNOCONFIDENCE)


Mbunge wa Ludewa (CCM), Deo Filikunjombe akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, katika Viwanja vya Bunge mjini Dodoma juzi. Kulia ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe anayefanya zoezi la kukusanya sahihi za wabunge ili aweze kuwasilisha bungeni hoja kutokuwa na imani na Waziri Mkuu, kesho Jumatatu.

Mbunge wa wa Kasulu Mjini, Moses Machali akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma juzi. Kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kusini, Zitto Kabwe anayetaka kuwasilisha bungeni hoja ya kutokuwa na imani na Waziri Mkuu.

Kiongozi wa Kambi ya Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma juzi.

Mbunge wa Vunjo, Augustine Mrema akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ndani ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma juzi.

Mbunge wa Bukombe, Prof Kulikoyela Kahigi akiweka sahihi katika fomu ya majina ya wabunge wasiokuwa na imani na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda. Katikati ni Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe na Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari.

CHANZO: ZITTOKABWE.WORDPRESS.COM

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages