Waziri
wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dkt Terezya Huvisa akizunumza
na Balozi Mpya wa Umoja wa Ulaya Nchini Tanzania Bw Filiberto Ceriani
Sebregondi alipokwenda kujitambulasha kwa waziri,leo Mtaa wa Luthuli
Mjini Dar es Salaam.
-







No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)