MC King Msuya Ajitosa kwenye Udiwani Jijini Dodoma - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Habari Mpya

MC King Msuya Ajitosa kwenye Udiwani Jijini Dodoma

 


Elirehema Geofrey Msuya (King Msuya )  Amechukua Fomu na Kurejesha ili kujitosa kwenye nafasi ya Udiwani Kata ya Kiwanja Cha Ndege ,Jimbo la Mtumba Jijini Dodoma.

Kwa sasa Majimbo Dodoma yameongezeka na kuwa Mawili, ambapo kata ya kiwanja Cha Ndege kipo katika Jimbo jipya la Mtumba.
Elirehema Geofrey Msuya akijaza Fomu kwa umakini ya nafasi ya Udiwani katika Kata ya Kiwanja Cha Ndege, jimbo la Mtumba Jijini Dodoma.
Elirehema Geofrey Msuya Akipokea Fomu ya nafasi ya Udiwani katika Kata ya Kiwanja Cha Ndege, jimbo la mtumba Jijini Dodoma.
Elirehema Geofrey Msuya Akikagua kwa umakini Fomu aliyojaza ili kutia nia kwenye nafasi ya Udiwani katika Kata ya Kiwanja Cha Ndege, jimbo la mtumba Jijini Dodoma.

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)


Pages