WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA MABALOZI WA VATICAN NA UHOLANZI NCHINI - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

demo-image

WAZIRI MKUU MIZENGO PINDA AKUTANA NA MABALOZI WA VATICAN NA UHOLANZI NCHINI


IMG_7716
 Waziri Mkuu,Mizengo Pinda  akizungumza na Balozi wa  Uholanzi nchini, Dk. AD Koekkoek ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 30, 2012.
IMG_7726
 Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimianana Balozi wa Vatican nchini, Montecillo Padilla kabla ya mazungumzo, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 30,2012.
IMG_7730
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Balozi wa Vatican chini, Montecillo Padilla, ofisini kwake jijini Dar es salaam Machi 30,2012.Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Pages