Katibu
Mkuu wa chama chama cha Mpira wa Kikapu Nchini, Michael Maluwe kushoto
akizungumza wa wahandishi wa habari Dar es salaam Kuhusu tathimini ya
utekelezaji wa kazi za TBF kwa mwaka 2011 matukio muhimu yaliyojitokeza
na mwelekeo wa kalenda yao kwa mwaka huu mwingine ni Makamu wa chama
hicho, Phares Magesa.
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)