Meneja kampeni za CCM,uchaguzi mdogo Arumeru Mashariki, Katibu wa
NEC, Uchumi na Fedha CCM, Mwigulu Nchemba (kulia) akimnadi mgombea wa
CCM jimbo hilo, Sioi Sumari katika mkutano wa kampeni uliofanyika leo,
14/4/12 katika kijiji cha Shambarai, Kata ya Mbuguni.
Wananchi wa kijiji cha Shambarai, Kata ya Mbuguni, wakishangilia
wakati wa mkutano wa kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimboni humo jana
Mgombea ubunbge wa CCM jimbo la Arumeru Mashariki, Sioi Sumari
akiwasalimia wakazi wa kijiji cha Shambarai Kata ya Mbuguni kabla ya mkutano wa kampeni za CCM jana
Pamela Sioi akimuombea kura mumewe, mgombea ubunge wa CCM, jimbo la
Arumeru Mashariki, Sioi Sumari kwenye kampeni zilizofanyika kijiji cha
Shambarai kata ya Mbuguni jimboni humo jana
.Mama Sioi(wapili kulia) akishiriki kuselebuka muziki wa hamasa za
Chama, uliporomoshwa katika kijiji cha Msitu wa Mbogo kata ya Mbuguni
kabla ya kuanza kampeni za CCM za uchaguzi mdogo jimboni humo jana
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)