Rais
Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete akipokea tuzo maalum toka kwa Rais wa chama
cha madaktari wa Kinywa na Meno nchini Dk. Rachel Mhavile wakati wa
ufunguzi wa mkutano wa kujadili jinsi ya kuyaweka masuala ya kinywa na
meno katika hatua ya awali ya kupata huduma. Jumla wa wajumbe kutoka
nchi 18 wanahudhuria mkutano huo wa siku tatu unaofanyika hoteli ya
Courtyard jijini Dar es Salaam.Picha naIkulu
-
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)