Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Mkuu wa Mkoa wa Morogoro,Mh. Joel Bendera wakati alipokuwa akiwasili kwenye Ofisi ya Mkuu wa Wilaya ya Kilombero,kabla ya safari ya kuelekea kwenye Sherehe ya Kuzinduliwa kwa Jimbo Jipya la Kanisa Katoliki Ifakara na kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo hilo. Askofu Mkuu Mpya wa Jimbo la Ifakara, Muhashamu Salitaris Melchior Libena akiongoza ibada yake ya kwanza akiwa ni Askofu wa Jimbo Jipya la Ifakara baada ya kusimikwa katika sherehe zilizofaanyika jana Ifakara Morogoro. Askofu Mkuu Mpya wa Jimbo la Ifakara, Muhashamu Salitaris Melchior Libena akitoa baraka zake kwa Viongozi wa Serikali waliohudhulia Sherehe hizo za kusimikwa kwake.
Askofu Mkuu Mpya wa Jimbo la Ifakara, Muhashamu Salitaris Melchior Libena akitoa baraka zake kwa wageni mbali mbali waliohudhulia Sherehe hiyo, wakiwemo waandishi wa habari. Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akizungumza na baadhi ya waumini wa dini ya Kikristo waliofika kwenye Sherehe hizo, ambapo ameliomba Kanisa Katoliki kuisaidia serikali katika kukabiliana na tatizo la ajira kwa vijana. Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili,Mh. Ally Hassan Mwinyi akimpongeza Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa. Waziri Mkuu Mstaafu,Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Muadhama Polycarp Kardinali Pengo baada ya kumalizika kwa Sherehe ya Kuzindua Jimbo Jipya la Kanisa Katoliki Ifakara na kusimikwa kwa Askofu Mpya wa Jimbo hilo iliyofanyika jana Ifakara,Mkoani Morogoro. Mh. Lowassa akibadilishana mawazo na Askofu Mkuu wa Jimbo la Songea. Mh. Lowassa akiwapungia mkono wakazi wa Ifakara. Mh. Lowassa akiwapungia mkono, wananchi kuwaaga wakati akiondoka eneo hilo.Wanafunzi wakitoa burudani ya kumuaga mh. Lowassa.
Post Top Ad
Responsive Ads Here
Home
Unlabelled
LOWASSA AHUDHULIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MKUU MPYA WA JIMBO LA IFAKARA
LOWASSA AHUDHULIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MKUU MPYA WA JIMBO LA IFAKARA
Share This
About Josephat Lukaza
Subscribe to:Post Comments (Atom)
Post Bottom Ad
Responsive Ads Here
Author Details
Lukaza Blog is a resources blog providing high quality articles with premium topics and well drafted. The main mission of Lukaza Blog is to provide the best quality articles which are relevance, original, truth and education materials designed and perfectlly to deliver best result for your knowledge and understanding of new things.
No comments:
Post a Comment
Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)