MSANII WA KIZAZI KIPYA LINAH AENDELEA KUJIFUA TAYARI KWA SHOW YAKE HUKO RENDEZVOUS - LUKAZA BLOG

All You Want is Here | Chochote Unachohitaji Utakipata Hapa

Breaking

Home Top Ad

Responsive Ads Here

Post Top Ad

Responsive Ads Here

MSANII WA KIZAZI KIPYA LINAH AENDELEA KUJIFUA TAYARI KWA SHOW YAKE HUKO RENDEZVOUS

Linah na madansa wake wameahidi show ya nguvu siku ya April 7, 2012 wamesema ukae mkao wa kula Pasaka kwa show na muziki ulioenda shule.
 Msanii Linah ujio wake upo chini ya Mhe. Letecia Nyerere Mbunge viti maalum (CHADEMA) ambae mbali ya Linah amesema anatarajia kuleta wasanii mbalimbali wa vizazi vipya katika kuutangaza muziki wao katika anga za kimataifa.

 Msaniii wa kizazi kipya Linah (kati) akiwa na madansa wake Helena Nyerere (kulia) na Julia Nyerere wakiwa kwenye mazoezi makali ya kujiweka sawa na show ya kukata na shoka itakayofanyikia Rendezvous, Rockville, MD wiki ya Pasaka April 7, 2012 show hii imeandaliwa na J&P wakishirikiana na DMK Global chini ya usaidizi wa Luke Music Factory na Itafunguliwa pazia na DirtyHerry akishirikiana na Cici akifuatiwa na AJ Ubao address ni 11910 Parklawn Dr, Rockville, MD.PICHA KWA HISANI YA VIJIMAMBO BLOG

No comments:

Post a Comment

Tafadhari Maoni Yenye Matusi Hayatakuwa Publish Tutoe Maoni Bila Kuumiza Wala Kujeruhi Hisia Za Mtu.....@(Sponsored By Lukaza Blog)

Post Bottom Ad

Responsive Ads Here

Pages